Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hao matapeli usijjchanganye watakwambia sijui uwatumie kiasi cha pesa sijui cha form ujaze usijaribuHivi hawa Tala wa Facebook ni kweli wanatoa mikopo? na kama ni ndio kwa nini hawataki kuongea nao, yaani wanataka uchat nao tuu na pia ukiwaambia uende ofisini kwao pia hawataki najiuliza kama hii kitu ni genuine na kama ni wezi basi wengi wanapigwa na serikali iko kimya.