Kuwa makini na Apps za Mikopo

Kilichonifanya nisiwalipe Ni sms Kama hizo,eti kisa nilipitiliza siku 1 tu!!
 
Mi no mbili za wadhamini nimeweka no za marehemu
 
Acha utapeli
 
TAARIFA KWA UMMA
HILI DENI LAKO LA MkopoWako, LINAENDA KUWAPONZA NDUGU ZAKO WOTE WAKIWEMO ............ MWENYE NAMBA .......PAMOJA NA.......... MWENYE NAMBA 07......
TUNAKUPA DAKIKA KUMI TU ZA KUOKOA JAHAZI KWA KUFANYA MALIPO
EPUKA USUMBUFU, OMBA MENU LIPA SASA
NAKALA KWA:-
 
Huu unaitwa mkwara wa mkia wa mbuzi.
Kwanza kabisa Deni halimfungi MTU, sijui Kama wakopeshaji wanalijua Hilo.
Sana Sana watafungua kesi ya madai, Kama watakupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…