HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo maana hutakiwi walipaHawa 20% kwa week
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana hutakiwi walipaHawa 20% kwa week
SijakuelewaNdo maana hutakiwi walipa
Kilichonifanya nisiwalipe Ni sms Kama hizo,eti kisa nilipitiliza siku 1 tu!!UMEKUWA MTU WA KULAZIMISHWA KUFANYA MALIPO YA DENI LAKO KILA SIKU, MUDA HUU TUNAKUPA NAFASI YA MWISHO KULIPIA DENI LAKO SASAIVI, WEWE NI MTU MZIMA TUTAHAKIKISHA TAARIFA ZA UTAPELI ZINAFIKA KWA WATU WAKO WA KARIBU KAMA HAUTOFANYA MALIPO HAYO NDANI YA MASAA MAWILI...
EPUKA USUMBUFU, OMBA MENU LIPA SASA
Wanazngua sanaKilochonifanya nisiwalipe Ni sms Kama hizo,eti Lisa nilipitiliza siku 1 tu!!
Mi no mbili za wadhamini nimeweka no za marehemuPesa X Wana nidai 75k nilitaka kulipa kauli zao za kinyoko nikaacha kulipa na wakasema kadri na vyo Chelewa riba inpanda nikawajbu poa subrin nalipa walpga cm Sana nikaweka block all incoming call new number wakaanza piga kwa mzamin bro na
b mkubwa saiz wameacha wakaja wasap wakawa wanauliza kwa ukali unalipa au ulipi jibu haraka na ukijibu ovyo utaona cha Moto Nika waambia silipi na Nina kihitaji icho cha Moto kije nikipoze kiwa cha barid pumbavu ziiiii mpaka leo kauli zimewaponza
Acha utapeliHalafu branch hata ukope laki tano, hawakupigii simu Wala nini, wewe mwenyewe tu uamue kuwalipa kwa muda unaotaka.
Juzi nilikopa laki Saba nirejeshe ndani ya mwezi. Nataka nifike kiwango Cha kukopa laki nane nione Kama hawatanipigia simu.
Kuna siku niliwapigia kuwataarifu kwamba nitachelewa kulipa kwa siku tano, huyo mdada somebody Wella alinijibu.
"Usiwe na wasi wasi Kaka hatuna haraka kihivyo isitoshe mkopo wako Ni mdogo tu 300,000/"
Hizi no ngoja niziblock kabisa[emoji116]View attachment 2664177
[emoji16][emoji16][emoji16]Acha utapeli
Kaka, si uingie mwenyewe ujaribu?Acha utapeli
Npo humo tangu 2017Kaka, si uingie mwenyewe ujaribu?
[emoji16]Wao ndiyo wawe makini na wakopaji wao. Unamkopesha mtu humjui???
Wanakuposha 20 hiyo hela unafanyia nini kwenye biashara [emoji16]Wao ndiyo wawe makini na wakopaji wao. Unamkopesha mtu humjui???
Branch kwangu ina kataa mzee inaniambia nisubili 7 days , tena hizo siku zikiisha , inasema nisubili tena 7 days yaan yaani kama 5 months toka nipate loan then nkarudishaKwani ukiingiza namba ya NIDA inasumbua.?
Kukopa Branch namba ya NIDA inatosha.
Mimi Branch wananidai laki tatu na hamsini tangu 2016.Npo humo tangu 2017
Huu unaitwa mkwara wa mkia wa mbuzi.TAARIFA KWA UMMA
HILI DENI LAKO LA MkopoWako, LINAENDA KUWAPONZA NDUGU ZAKO WOTE WAKIWEMO ............ MWENYE NAMBA .......PAMOJA NA.......... MWENYE NAMBA 07......
TUNAKUPA DAKIKA KUMI TU ZA KUOKOA JAHAZI KWA KUFANYA MALIPO
EPUKA USUMBUFU, OMBA MENU LIPA SASA
NAKALA KWA:-
OohHuu unaitwa mkwara wa mkia wa mbuzi.
Kwanza kabisa Deni halimfungi MTU, sijui Kama wakopeshaji wanalijua Hilo.
Sana Sana watafungua kesi ya madai, Kama watakupata.