Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari
Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi kuingilika Yani akikupiga beto moja basi utakuwa mwepesi kutoa ulichonacho
Hasara nyingine ya hawa vijana wapiga mizinga unavyotoa pesa na kumpa tayari unakuwa unampa ramani kumkaribisha nyumbani kwako aje kuiba mana anajua ata ikitokea ukimkamata tayari wewe bro umeshamuonesha roho nzuri utamuonea huruma anaweza akaja yeye mwenyewe au akatuma wenzie
Tuwe makini na Hawa vijana wapiga mizinga midogo midogo