Kuwa makini na vijana wapiga mizinga

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari
Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi kuingilika Yani akikupiga beto moja basi utakuwa mwepesi kutoa ulichonacho

Hasara nyingine ya hawa vijana wapiga mizinga unavyotoa pesa na kumpa tayari unakuwa unampa ramani kumkaribisha nyumbani kwako aje kuiba mana anajua ata ikitokea ukimkamata tayari wewe bro umeshamuonesha roho nzuri utamuonea huruma anaweza akaja yeye mwenyewe au akatuma wenzie

Tuwe makini na Hawa vijana wapiga mizinga midogo midogo
 
Upo sahihi mkuu ushuhuda imenitoke ata mwezi aujaisha
 
Unatoaje hela hovyo kwa vijana wazima wasio na ulemavu wowote? Mtoto wa kiume apambane tu. Hela tutawapa dada zao kunapotokea ulazima na sio vinginevyo.
 
Just be cool and cheer up with everybody stop preaching negativity
 
Dah! bange mbaya sana , nilikuwa namripot Mongolian ila mods wakawa wanamchekea Leo nimefurahi nimekuta limekula ban. Sasa ukiendeleza ujinga wako na wewe utakula mvua ukose kichaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…