Kuwa makini sana ukifanya biashara na mtu aliyeficha Last seen na Read Receipts kwenye WhatsApp

Mi WhatsApp yangu ukija unakuta ni giza huoni chochote sasa sijui utaona ni mzimu au jini 😂😅🤣
 
Pole sana mkuu kwa kulizwa.
 
Vipi wale ambao wameset hakuna blue tick. zinabaki kijivu tu na ameshasoma txt akitaka kujibu anajibu kama hataki unabakii kuona tick za kijivu na huna uhakika kama kasoma ama lah
 
Vipi wale ambao wameset hakuna blue tick. zinabaki kijivu tu na ameshasoma txt akitaka kujibu anajibu kama hataki unabakii kuona tick za kijivu na huna uhakika kama kasoma ama lah
 
dp ndo kitu gani icho mkuu
 
HITIMISHO:-

-Ukiona mtu anaficha Last Seen na Read Receipt yake ujue kunakitu anakimbia (tapeli)
-Ukiona mtu anaficha Status yake ili waone wacheche ujue anadaiwa
 
Mimi sioni kama ni issue hata kidogo, sijaficha chochote Ila mtu akiamua kufanya hivyo kuna shida gani, sioni shida kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…