Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri

Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope

Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa

Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi mnayoabudia
 
Ngoja kwanza🫢Ikadondoka hapo hapo kanisani au ikadondokea mtaani??😅
 
Back
Top Bottom