Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume..
Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA."
Hii na baada ya kutalakiana na mume wake
Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI KWA MATUNZO YA MTOTO."
Picha ya tatu ni MacKenzie Scott (zamani MacKenzie Bezos), na "$36 BILIONI TALAKA." Baada ya kutalakiana na Tajiri mkubwa duniani Bezos
Picha ya mwisho ni Melinda French Gates, "$76 BILIONI TALAKA." Baada ya kuachana na Bill Gates
Mwanaume chagua vyema mke wako. ima awe faida na Utajiri wako au hasara na umasikini wako.
Apatae mke bora apata kitu chema