Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi.
Mbunge wa kuchaguliwa kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki, hata akihudumu miaka 25 ni sawa tu, mradi atumikie aliyotumwa na wananchi wake vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi.
Serikali kuu ndiyo msimamizi wa shughuli za kila siku za serikali kupitia Waziri mkuu,so inatakiwa kuongozwa na Wananchi,hivyo rais na mawaziri kupitia uwakilishi,bunge kutunga sheria kwa niaba ya Wananchi, mahakama kutafsiri sheria zilizotungwa na bungeWananchi wenyewe lazima wawe wabunge?
Kwa hiyo mahakama si msimamizi wa utendaji wa kila siku wa mambo yake na hivyo haihitaji wananchi wenyewe km unavyosema..?
Zipi kazi za dola (serikali, mahakama na bunge) na yupi anahitaji wananchi wenyewe(kwa tafsiri yako) na yupi hahitaji na kwa nini..Pse!
Kwani hao mawaziri SI watakuwa miongoni mwa watanzania?? Unafahamu nchi hii Ina mihimili mitatu ambayo haitakiwi kuingiliana kabisa?? Mhimili wa bunge, serikali na mahakama havitakiwi kuingiliana..Sasa vipi mtendaji wa serikali ambayo ni mhimili mmoja atokee kwenye ubunge ambao ni mhimili mwingine ambao kazi yake ni kutunga SHERIA na kuishauri na kuisimamia serikali??Baraza la mawaziri likiongozwa na Rais ni uwakilishi wa wananchi katika kufanya maamuzi mazito ya kinchi,kutaka Waziri asitokane na mbunge maana yake hutaki uwakilishi wa wananchi juu ya mustakabali wa nchi yao, rejea maana ya demokrasia
Mtu akiwa katibu mkuu Simba na mkurugenzi rasilimali watu nssf,hapo Simba na nssf zimeingiliana?Kwani hao mawaziri SI watakuwa miongoni mwa watanzania?? Unafahamu nchi hii Ina mihimili mitatu ambayo haitakiwi kuingiliana kabisa?? Mhimili wa bunge, serikali na mahakama havitakiwi kuingiliana..Sasa vipi mtendaji wa serikali ambayo ni mhimili mmoja atokee kwenye ubunge ambao ni mhimili mwingine ambao kazi yake ni kutunga SHERIA na kuishauri na kuisimamia serikali??
Mbunge wa kuchaguliwa kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki, hata akihudumu miaka 25 ni sawa tu, mradi atumikie aliyotumwa na wananchi wake vizuri.
Basi hata hiyo itumike Kwa Rais
Simba na nssf sio mihimili ya nchi hiyoMtu akiwa katibu mkuu Simba na mkurugenzi rasilimali watu nssf,hapo Simba na nssf zimeingiliana?