Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

Dah! Mama Promise mtamu
 
Dah , Sasa kwanini ulimtema
Mkuu, tulikuwa imani tofauti, Mimi nipo RC na Yeye ni msabato, na mzee wake alikaza Mimi na mwanaye kufunga ndoa kwa sababu hakutana mwanaye kuwa Mtu wa RC, nikajiengua. Kwa hiyo hatukuachana kwa ubaya lakini tulikuwa perfect match mpaka kesho mzee. Na kama kupendana mpaka leo tunapendana, ingawa tumeamua tukubaliane na ukweli, tupo karibu tunamlea Promise tu.
 
Dawa yake siku akikupa unamuacha avue nguo zote halafu wewe unachukua wese lako unapiga puchu mbele yake. Halafu unamwambia usijione wa muhimu sana hata bila wewe naweza kukidhi haja zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataumia nan? Ni yeye mpiga puchu.
 
Kwa nini mshindwane mkuu, tatizo ni nini? Kama ni mambo yanayoweza kurekebishika, kaeni chini myamalize.

Kwa sababu mimi wakati tunatengena na mzazi mwenzangu, tulihisi inaweza kuwa rahisi, lakini sasa hivi anasemaga mwenyewe ni bora asingekubaliana na mzee wake kwa sababu kumpata mtu mwingine mtakayeelewana kwa vitu vingi ni mtihani, vilevile mtoto anahitaji kupata malezi ya wazazi wawili kwa ukaribu.

Kwa hiyo kama ni mambo mnayoweza kuyarekebisha, fanyeni hivyo wakati bado mpo pamoja mkishatengana, mtajifunza mengi na mnaweza kuja kujilaumu kwamba mngepambana muendelee kubaki pamoja.
 
Siwez mkumbuka ana bichwa kama dume la nyani, mwanaume gani mwembamba kama msumari.....x kafie Ukraine huko.
Niliwahi huko nyuma kukutana na Mwanamke mwenye Dharau, Nyodo na Kashfa kama Wewe ( zako hizi ) ila nilimpomvua tu Chupi yake ili nianze Kumkanda Kibaikolojia ( Kumtia ) nilikutana na Harufu Kali na Mbaya ambayo hata ukienda katika Dampo Kuu la Dar es Salaam kule Pugu huwezi kukutana nayo ( kuisikia ) japo nikiri alikuwa ni Mrembo ( Mnyange ) sana tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Njoo uninuse karanga ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…