Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

😂😂😂😂😂Njoo uninuse karanga ww
Kabla hata sijathubutu kuja Kukunusa kwa haya Maelezo yako tu hapa ya Dharau, Nyodo na Jeuri inaonyesha Mbunye yako inatema mno na Dampo Kuu la Pugu linasubiri.
 
Ndio inatema mno Dampo likasome kwani inakuchoma......em tuliza hizo kengere ka za mtoto mdg chini......au we ndo x wangu tena ukwendreeeee kafie huko kwa wa Rundi
 
Kwa Mbunye ipi hiyo uliyonayo? Imechacha!!
 
Binadamu tuko tofauti sana mkuu me nkimpenda mtu nampenda kweli nkimchukia Namchukia kweli
Hapana mkuu, nakushauri usijipe mzigo mzito, ukimchukia mtu unayeumia zaidi ni wewe na si yeye. Na kumchukia mtu kwa sababu unammisi siyo vema, jifunze tu kutua mzigo wa chuki, safari ya maisha bado ndefu kwa hiyo usibebe mizigo mizito kama chuki ikaja kukuchosha mbele ya safari (life is a long journey, so you have to travel light).
 
Kwa Mbunye ipi hiyo uliyonayo? Imechacha!!
Imechacha kweli kweli we mwenyewe si unaelewa ipo kama ya huyo emolo mwenzio nilidhani mwanafunzi mwenzio kumbe mtu mzima mwenzio😂😂😂😂😂 eeeh Mungu naomba unisamehe 😂😂😂😂 Dhambi zingine tunajitakia
 
Hapana mkuu, nakushauri usijipe mzigo mzito, ukimchukia mtu unayeumia zaidi ni wewe na si yeye. Na kumchukia mtu kwa sababu unammisi siyo vema, jifunze tu kutua mzigo wa chuki, safari ya maisha bado ndefu kwa hiyo usibebe mizigo mizito kama chuki ikaja kukuchosha mbele ya safari (life is a long journey, so you have to travel light).
Stop wasting your time advising a Nut.
 
Hapana mkuu, nakushauri usijipe mzigo mzito, ukimchukia mtu unayeumia zaidi ni wewe na si yeye. Na kumchukia mtu kwa sababu unammisi siyo vema, jifunze tu kutua mzigo wa chuki, safari ya maisha bado ndefu kwa hiyo usibebe mizigo mizito kama chuki ikaja kukuchosha mbele ya safari (life is a long journey, so you have to travel light).
Mkuu mim sibebi mzigo.....me Niko SawA kabisa nashukuru Mungu kwa hilo kuna watu wa kuwamis...Kuna mahusiano ukiingia unajiuliza kwa nn Mungu akunipa haya nlonayo akaenda kunikutanisha na yule chizi karogwa tena
 
Imechacha kweli kweli we mwenyewe si unaelewa ipo kama ya huyo emolo mwenzio nilidhani mwanafunzi mwenzio kumbe mtu mzima mwenzio😂😂😂😂😂 eeeh Mungu naomba unisamehe 😂😂😂😂 Dhambi zingine tunajitakia
Umeshaiosha ( Ikogesha ) asubuhi hii?
 
Mkuu mim sibebi mzigo.....me Niko SawA kabisa nashukuru Mungu kwa hilo kuna watu wa kuwamis...Kuna mahusiano ukiingia unajiuliza kwa nn Mungu akunipa haya nlonayo akaenda kunikutanisha na yule chizi karogwa tena
Ndiyo maana kuna mchana na usiku, kuna giza na mwanga, kuna masika na kiangazi, kuna furaha na huzuni. Yote hayo ni kuleta balance kwenye ulimwengu. Ukikutana na wrong person, utamthamini right person ukija kukutana naye.
 
Haya Sawa mkuuu
 
Back
Top Bottom