Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Wiwachu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
809
Reaction score
924
Wakuu,

Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli.

Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini?

Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke.

Wewe je? Karibuni Mtiririke.

.
 
Ukishajua unataka iweje...au nawe upo kwenye List ya 3 ya KONK
 
Shahawa za mwanaume kumuingia mwanamke ni kiburudisho tosha kwake kama naongea uongo ajitokeze demu anikanushe mana kutumia condom bora nikapige nyeto mazee mana nakua nimejipakua mwenye.

Unatoka kumlala mwanamke unaenda ww kunawa yy anavaa anaondoka kama sio zarau ninn anatakiwa akanawe tena ukishuka kifuani kwake mpaka anakuonea aibu nani anabisha akina dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…