Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

Mzigua ulivyosema Yango na Yango mi najua ni dildo banaaa
Kumbe ni kamsamiati kapya maskioni mwangu.
Basi na mi naunga mkono, maana maendeleo hayana chama.
Yango Yango ndio nini wengine tupo porini Terminology mpya zinatupita kando.
 
Jaribu kutumia hata Rough Rider za 3000 starehe gharama.Unataka Kufeel pleasure kwa condom za Bure za msd au Dume za Jero.Rubber nzuri kuna 3000,6500 na ghali 15,000...Turudi kwenye mada tuliooa hatutumii japo mechi za nje za kirafiki lazima nivae rough rider.unatembea kama Ford Ranger
 
Uwa natumia lakini katkat ya game najikuta naivua
 
Back
Top Bottom