Mr C Kauli huru
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 176
- 235
Nawasilisha. Kuna mambo ndani ya nchi yanakera hadi kumtoa mtu kwenye uwepo. Umeme haujatulia sjui wanataka watuunguzie vitu?. Unakuwepo dk 10 unakatka kwa dk 1 na gafla unarud afu unakata tena
Ingia tik tok had kuna watu washaufanyiq igizo au content ( mara wanakata eee mara wanawasha heee ........ Unazimika unawaka unazimika unawaka ...(huku akichezea taa kwa kuzima nakuwasha)) Fikiri uko saloon, Uko unapikia jiko la umeme, unapasi na kazalika inavyo kera...
Hem tupeane kero ambazo ushawahi kukereka ndani ya nchii hii hadi ukatoka kwenye uwepo.
Nawasilisha