Kuwa mtu wa malalamiko sana ni dalili ya kukata tamaa

niambie Ni Nani nikamwambie huenda naweza kummudu Mimi pia useme na jinsia yake ili nijue namwendea vipi
Kama Mimi namuogopa wewe je..?! Wewe ndo huwezi tena huwezi haswaaa.. utadundwa bure..😂
 
Mtu anaelalamika mara nyingi anatafuta suluhu ya jambo linalo tesa akili yake,na hilo jambo inaonesha kuwa linajirudia,kwahiyo kama ni mtu wako wa karibu simply jaribu kubadilika na uende na mapigo yake uone kama ataendelea kulalamika...
umeandika ukweli mkuu👏👏
 
Ha ha! Mkuu najua nilichoandika na namjua vizuri mtu husika Wala sio kwamba ati sijawahi muona au vipi na nimeishi nae! Hata kakitu kadogo tu ye lalamiko! Unajua Kuna malalamiko ya kawaida na yaliyozidi! Wenye experience na watu wa namna hiyo wanaweza nielewa.
 
labla useme na jinsia yake ili tufahamu vizuri pia Kama Ni mtu unaeishi nae inategemea unamtendea Nini mtu hawezi lalamika tu .
 
labla useme na jinsia yake ili tufahamu vizuri pia Kama Ni mtu unaeishi nae inategemea unamtendea Nini mtu hawezi lalamika tu .
Ni me siishinae ila nimeshaishi nae sana tu Tena sana.. sijawahi mtendea
 
Atakuwa mwanachama wa "madole mawili" huyo, ndioo wamejaa humu!
 
umepotea Sana nakuona kwa manati mkuu msamiliee anaekuficha hukoo👋
Hakajambo na kanamambo maana kanauma na kupuliza tena kamenificha kwenye Kona ya mahaba na kalivyo Sasa kapo Kama hakapo ila kanamambo makubwa🤣
 
Hakajambo na kanamambo maana kanauma na kupuliza tena kamenificha kwenye Kona ya mahaba na kalivyo Sasa kapo Kama hakapo ila kanamambo makubwa🤣
🤣🤣mwee kweli umepata msamiliee wifi yangu jmn ila mwambie mara mojamoja akuachie khaa .
 
Mimi nilisikia kuwa wanaopenda kulalamika ni watoto wa kambo, mambo ya saikolojia yanakujaje hapo?
 
Malalamiko ni roho unaweza kujikuta unaambukiza kila mtu anaanza kulalamika, hata Mungu hajibu malalamiko bali anajibu maombi...
 
"Yani nachukia [emoji34][emoji34] nachukia sana[emoji35][emoji35][emoji35], yani nachukia huu mtindo huku JF kila comment kuna mtu anakataa wazo la mtoa uzi, kwanini na nyie msifungue za kwenu ayo ma comment yenu yawe uzi!!? [emoji51][emoji51][emoji51]

Hata tunashindwa kupata mtiririko ni mtu tu kapinga uzi.

Yaani tuchoshwe na serikali bado na nyie mtuchoshe huku JF mimi nachukia sana na mod na wapo tu wanaangalia sijui hawaoni tunavyokwazika [emoji36][emoji36]"

HAYA MFANO WA MALALAMIKO HUO HAPO JUU [emoji23][emoji23]
 
🤣😂🤣😂mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…