Kuwa mtu wa malalamiko sana ni dalili ya kukata tamaa

mi naamini matajiri na watu wenye pesa tunaowajua ndio huwa wanalalamika hali ngumu kuliko sisi kina chomoa njambe!!sasa sjui ndo huwa wanatukatisha tamaa zaidi ili tubak maakin au vipi???!!
 
wengine tunalalamika kwa sababu
1.Kuepuka kuonekana tunajikweza.

2.Njia kumfanya mtu akupe mchongo au connection.

3.Ku overtake waomba hela.

#26_plain
 
kuna watu na viatu.just ignore them a
 
Kwani ukiwataja kwa majina (CHADEMA nini kitakukuta[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…