Kuwa Mwanamke ni Raha Sana

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,981
Reaction score
3,604
Ni kauli nimeisikia nikiwa katika bar moja karibu na kumbi za bunge mkoani Dodoma, Yaani huyu mrembo alikuja mida ya sa 5 asubuh alipowaona wenzie akatoa burungutu la hela Kama mia 4 ama 5 ivi na kuwaonyesha wenzie.

Kwa kuwa nilienda jikon kuona aina ya samaki nikamwita Dada naomba usogee tukakaa kwa meza nikaona kusudi kukoleza stori niagize na kinywajii mim nikaita TBL yeye akanywa Heinken kwenye stori ndio akafunguka ....... Kweli Dunia ina siri nyingi sana nilijuta kujua kapataje pesa zile.....

kwanza yule demu alikua ni mtumia madawa ya kulevya pia anatumia dozi ya ARV na alitoka kulala na mh. ambaye ni kigogo ......baada ya kuagiza Kama bia 4 akaniambia nimekupenda please subiri niende nikaoge nakuja usijali hii bili nalipia Mimi ngoja nikaoge tafadhali usiondoke

nikaendelea kukaa akatoa Kama 50k akapewa balance yake na kuniacha pale sababu ilikua bado mapema nikasema leo ngoja nizijue siri za vigogo

Kiukweli kuna watu wanaishi maisha ya hatari sana demu akaniambia pesa walipewa Kama laki 9 ivi nyingine watapewa jioni na walikuwa wawili ndio mara zote huambatana na uyo kigogo
halalagi na demu mmoja.

kuna watu wengi wanatembea huku wamekufa....... deadly walking. kwanza aliniambia yeye kima cha chini kulala na mwanaume ni laki 3 na mtu pekee anayemtia bure ni dereva tax wake wa kila siku mwingine haiwezekani labda ampende mwenyewe na mim ni miongoni mwa tuliopendwa na yeye.

sikuonyesha uwoga nikajitia pombe ipo level nikawa nampapasa huku nikimsihi nina appointment na mpenz wangu lazima atakuja Ila nitamtafuta mda wa jioni akasisitiza niwah kwani jion haiwezekani.

mrembo alikuwa ni mweusi msukuma ana umbo kubwa na minyama sana ana kg Kama 120 mrefu kweli bonge sana.
nikasema hpa ni maji na mafuta mim sipend malnutrition species.

kilichokuja kunichosha zaidi kumbe yule mrembO amesoma na ana Degree ooooooh mama Yaani anajua anachokifanya na anajua anampataje mtu fulani mmmmmhhh


tembea na sema na watu ujue vitu kwanza ananiambia mim kwenye bank account yangu nina zaidi ya 300M na sina Business yeyote hapa mjin mim ni mhudumu wa bar tu Ila silipwagi mshahara najilipa mwenyewe.....LADIES ARE CRYZ MENS.ARE. MAD. .

Nimeshtuka kuwa nimekutana na mtu anayejiamin sana haogopi kufa na yuko tayari kufa muda wowote. nilichukua namba mpaka leo bado sijaifuta najiuliza inawezekanaje刚刚阿姨语言表达你女婿vv
 
Ndio dunia
 
Mtoa mada labda kasikia vibaya, kaongeza sifuri. Maana hiyo hela halafu bado mtu anauza bar badala ya kuinunua bar ?
Dada anatunza pesa tu hataki stress. Lkn kwa pesa zote hizo why uendelee kuuza k?
 
kwa harakaharaka huyo muheshimiwa ni yule mbunge wa kuleeee,,,,haaa nimesahau kidogo,,,mbunge wa lile jimbo la kule kwa kama unaelekea upande wa kule kushoto,,,

nikumbusheni jamani jina la yule mbunge,,?
 
Sasa kuuza K ndiyo uraha wa kuwa mwanamke??

Nadhani umewakosea heshima mama zetu...mwanamke staha, kujiheshimu na kujua nafasi yake. Hii ndiyo raha ya mwanamke.

Utakubali mama yetu(yako) aone raha kwa kujiuuza??????
 
Bado najiuliza anawapa Nini hao wanaume wamuhonge hivyo? Wanaume wa siku hizi kukupa elfu 20 Ni bahati sana, na hapo umejitoa mwili na roho

Anaijua kazi yake vizuri. Anajua customer base yake. Na si unaona mbunifu [emoji3][emoji3][emoji3], kwenye three some anavuta hela ndefu.
Ila possibility kama million 300 atakuwa anafanya na biashara nyingine haramu labda drugs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…