Kuwa mwanaume ni utumwa (The Anatomy of Female Power)

Iyo iyo manipulation ukimfanyia mwanamke anaweza kukugeuzia kibao akasema umembaka na zikakutoka pesa nyingi tu, mfano tunaona wanachokutana nacho wachezaji wa ulaya mfano neymar, emanuel eboue n.k lakini yeye akikufanyia manipulation ukasema ukalalamika alikulaghai kwaiyo akurudishie pesa ulizomuonga utaonekana fala tu.

Ukweli ni kwamba sheria zimembana mwanaume lakini zimeacha mianya ya mwanamke kumpiga mwanaume. Manipulation unayomfanyia mwanamke inaweza kukutokea puani lakini ile manipulation anayokufanyia mwanamke imehalalishwa kijamii na kisheria
 
Wanaume kazi wanayooo, hapo badooo,
Woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki ndicho nilichokua namuelekeza jamaa yangu. Unajua hizi taratibu za kisheria na kijamii zimewekwa zamani sana kipindi ambacho mwanamke alikua dhaifu na hajaelimika ndio maana waliziweka wakachukulia kwamba mwanamke ni kiumbe fulani naive and innocent

Sasa dunia imebadilika mwanamke nae kaamka ashajua kuna loopholes ambazo akizitumia kimkakati zinamnufaisha ndio hapa sasa tunaziona hekaheka za wakina klyn kutaka utajiri ambao wamemkuta nao mwanaume
 
Bro sometimes angalia na nchi
Mimi naongelea hapa Tanzania sio huko ulaya ambako kweli Sheria zao zimekaa kifeminist zaidi pia inachangia na wanaume huko kupenda ushoga zaidi ndio maana Kuna ujinga Kama huo tofauti na Huku kwetu japo Sheria zipo pia jamii zinapinga ujinga Kama huo
Huku kwetu na maeneo ya uarabuni huwezi kumsingizia mtu hivyo kizembe na kumchafua halafu utoke salama
 
Umeliweka sawa kabisa, kwa mfano mwanaumme ukikataa kununua cha kula siku moja nyumbani kumtia adabu mwanamke, akishinda jaa na watoto kwa 24hrs tu, mda ambao hawawezi kufaa kwa njaa, akukupeleka police utakamatwa, ila mwanamke akikataa kutoa huduma yoyote nyumbani huwezi kumshitaki popote,kila mtu atakushauri achana nae, our society sio fair kwa wanaume.
 
Tusichoke kuwaelewesha ndugu zetu, kujitoa kwenye matrix uliyoiishi na kuiamini miaka yako yote sio rahisi
 
Mkuu Soma hizi picha vizuri
Utaona tofauti Kati manipulation and violencehii ni violence
 
Kwahiyo sasa unataka 50/50 na mwanamke si ndio maana yake? Mwanamke atabaki mlezi wa familia na mwanaume ni provider ndio iko hivyo toka enzi.
Kila mtu ana principles zake mzee baba, kwangu mimi kama mke wangu ni mama wa nyumbani nita-provide kila kitu ila kama ana kipato lazima alete kitu mezani.

Tukiamua kuishi pamoja maana yake kila mtu anatumia muda wa familia, kwaiyo lazima huo muda anaotumia uwe na output kwa mustakabali wa familia, sasa kama anaenda kazini halafu haleti chochote nyumbani maana yake anatumia vibaya muda wa familia, ni bora abaki nyumbani tu afanye vitu productive mfano kulea watoto
 
Mkuu wewe bado hujaelewa maana ya violence na manipulation ni vitu viwili tofauti
Soma Kwanza hizi picha halafu twende sawa
kwa hapa Tanzania hakuna Sheria Ina inayomruhusu mwanamke yeyote yule kutumia violence elewa Kwanza maana tofauti ya violence na manipulation ndio utajua Mimi naongelea nini
 

Attachments

  • Screenshot_20240825-143335.png
    152.6 KB · Views: 3
Mkuu tuko pamoja ila hutaki kutuelewa violence is not only physical kuna psychplogical violence ambao ni hatari hata kuliko physical, wanawake hutumia sanaa psycological violence ku-manipulate au ku- enslave men ila mwanaume akitumia mbinu hizo hizo jamii ina muona as unfair. Usijikite kwenye definitions za dictionary hapa tuna tumia operational definition ni technical defns
 
Sometimes mnayakuza mambo tu kwa mfano hapa TZ Hamna mwanaume amewahi kukamatwa apelekwe et kisa hajaacha hela kula nyumbani wapi hio imawahi kutokea nipe ushahidi mbona Kama ndio hivyo jela zingejaa😂😂😂
 
Toa mchonyo uhudumiwe na wewe.
 
Mkuu elewa Kwanza Mimi sipingani na wazo lako kuwa wanawake sometimes wanatumia violence kunyanyasa wanaume kuhusu hilo sipingi Niko sambamba na wewe kwa sababu nimeyaona kwenye jamii hayo mambo maana Kuna wanawake makatili kwao kumuekea sumu mtu sio shida
Ila kwenye suala la kwamba ufanye violence halafu usichukuliwe Sheria Hilo Mimi na pinga labda Kama mtu asiamue kureport
kwa hapa Tanzania any violence or abuse ni kosa kisheria haijalishi wewe ni Nani au jinsia gani ukileta ujinga utachungulia nondo mfano mzuri angalia demu wa kanumba Sijui ni Nani jina limenitoka halihisiwa amehusika kwenye mauaji ya kanumba mbona alikaa lockup

Sitaki kuongelea nchi za USA maana huko ni lawless nations, raia wa kawaida huko kumiliki bunduki ni Kama kimiliki nguo tu no problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…