Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Iyo iyo manipulation ukimfanyia mwanamke anaweza kukugeuzia kibao akasema umembaka na zikakutoka pesa nyingi tu, mfano tunaona wanachokutana nacho wachezaji wa ulaya mfano neymar, emanuel eboue n.k lakini yeye akikufanyia manipulation ukasema ukalalamika alikulaghai kwaiyo akurudishie pesa ulizomuonga utaonekana fala tu.Bro Ndio nimekuelewa Ila kwenye swala la kusema nimesema kuwa wanawake wote ni innocent hapana Mimi sijaamanisha hivyo
Mimi binafsi nimesema kwamba kwenye suala la manipulation ni jinsia zote kwenye mahusiano zinafanya haijalishi jinsia inategemeana uwezo na ujuzi wa kumanipulate mwenza wake mwenye ujuzi mwingi ndie anaeshinda
Kuhusu suala kwenda jela baadhi hao wanaume wanatumia violence badala ya manipulation kitu ambacho ni kosa kisheria ,violence sio manipulation huwezi kwenda jela kwa kutumia manipulation Hamna Sheria hio .
manipulation ni kitendo Cha kushawishi kwa kutumia uwongo ,vitisho au ahadi kumfanya mtu kufanya Jambo kwa manufaa yako binafsi bila muhusika kunafaika na chochote kutoka kwako baada ya kufanya Jambo ulilotaka .mfano; single mother anamwaaminsha mwanaume kulea watoto wasio wake atapata upendo na heshima kutoka kwa mama hao watoto na watoto wake kumbe Nia halisi ya huyo single mother ni kumtumia huyo mwanaume kulea watoto wake Huku yeye anaendeleza mahusiano na baba wa hao watoto.
Tofauti kabisa na violence ambayo ni kutumia njia ya kutumia kipigo kulazimisha mtu kufanya Jambo
Manipulation inahitaji kutumia saikolojia,minds game na udhaifu wa mtu kumfanya afanye Jambo kwa matakwa yako Ila kuhusu kutoa kipigo hilo sio manipulation
Shida iliyopo sisi wanaume wengi wetu tume base kwenye physical strength kuliko kutumia akili ndio maana wengi wetu tukikutana na manipulation Kama mindsgame tunakuwa rahisi kuwa manipulated hatujui haya mambo tunaona wanawake hawaeleweki kumbe ni sisi ndio tumeshindwa kuona manipulation inayofanyika ambayo Kama unaujuzi na manipulation game unaona mchezo kweupe Tena Kama ni smart unaweza hata uka counter mchezo bila ya kuanza kutumia nguvu,
Mkuu ukijifunza manipulation game kwa kina zaidi utaona manipulation ambayo wanatumia wanawake ni nyepesi na inaonekana haitaji kukaa kuumiza kichwa Ila Kama hujui chochote lazima utaogopa hata kuoa,
Uzuri ukijua manipulation ni ngumu Sana kuwa manipulated
Ukweli ni kwamba sheria zimembana mwanaume lakini zimeacha mianya ya mwanamke kumpiga mwanaume. Manipulation unayomfanyia mwanamke inaweza kukutokea puani lakini ile manipulation anayokufanyia mwanamke imehalalishwa kijamii na kisheria