Kuwa mwanaume sio jambo dogo

NAKAZIA,

Wanaume tunapitia mambo mengi sana .
Unaanza kuhangaika vibarua, unachimba mtaro, unalala njaa n.k mwanamke ambaye humjui km atakuwa mkeo yupo kwao anasimu kubwa anaangalia vichekesho TikTok.
Baada ya kujipata, unakutana naye njiani unamtongoza anakukubali.
Anaanza kukufanyia visa, hapo unaanza kurudi saa 5 usiku ili usisikie gubu lake.
Sikiliza mshua ya nay wa mitego ft linah
 

The supreme happiness of Life consists in the conviction that one is Loved. - Victor Hugo
 
Umesahau ajue na kupiga nyeto ili madem wasimsumbue
Hapana labda kama hataki demu. Lengo hapa sio ilo bali lengo ni mwanamke ajue mwanaume ni mtu kamili.

Mwanaume akishindwa kumuonesha mwanamke kuwa yeye ni mtu kamili lazima huyo mwanamke amdharau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…