ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ndo ivo kijana anataka mambo rahisi kama kukojoa amechuchumaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinambieee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivo kijana anataka mambo rahisi kama kukojoa amechuchumaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinambieee
Pakua nyimbo ya Mshua ya Nay wa mitego ft Linah. Nimeikubali sanaKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhan km amefikia hatua hiyooo.Ndo ivo kijana anataka mambo rahisi kama kukojoa amechuchumaa
Au unalazimishwa uzame chumviniKuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
Upo kumbe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf Ina heka heka hii khaaah
NipoooUpo kumbe,
Sijakuona mda aisee
Unaanza kuhangaika vibarua, unachimba mtaro, unalala njaa n.k mwanamke ambaye humjui km atakuwa mkeo yupo kwao anasimu kubwa anaangalia vichekesho TikTok.NAKAZIA,
Wanaume tunapitia mambo mengi sana .
Yupo hatua mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhan km amefikia hatua hiyooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yupo hatua mbaya
Tumwombee tu
Kuwa mwanaume si jambo jepesi kwa hii dunia, imagine unatakiwa kumpa mtu hela na hakudai wala nini!!!
Mkuu nikupe siri, hakikisha kama mwanaume unauwezo wa kujihudumia kila kitu sio kipesa tu ila kimaisha zaidi.
Mfano, hakikisha unaweza kujipikia, kujifulia, kuwa na furaha na kuwajijali kiusafi na kimavazi.
Wanawake wengi wana control na kutusumbua akili sababu wanajua hatuwezi jitegemea kwenye hivyo vitu.
Ukijimudu hivyo vitu, hakuna mwanamke anaweza kuwa na jeuri mbele yako.
Hakikisha mwanamke akijikadiria aone kabisa hata akiondoka unaweza kujihudumia na mwanamke mwingine akakupenda.
Ni simple sana, jijali.
Hapana labda kama hataki demu. Lengo hapa sio ilo bali lengo ni mwanamke ajue mwanaume ni mtu kamili.Umesahau ajue na kupiga nyeto ili madem wasimsumbue