Kuwa mwangalifu unapotaja jina lako......

Kuwa mwangalifu unapotaja jina lako......

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
Wakati ana-ripoti kujiunga na JKT, John Mboya aliulizwa getini:

Afande: Kijana hapa ukiulizwa swali jibu unalotoa lazima umalizie kwa kusema "afande". Sawa kuruta?

Mboya: Sawa afande

Afande: Jina lako nani?

Mboya: Mboya afande

Afande: Unasema nini wewe? M.b.o.o ya afande?!! Tangulia uwanja wa damu!
 
Bwahabwahahahaa hhaahaha... Kweli ya Afande

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Afande: Unarudi wapi wewe kuruta?
Mboya: Kunya afande
Afande: Mshenzi!! tangulia eneo la lokap
 
JKT bwana, vituko tupu:
Afande: Wee kuruta, mbona huchukui chakula
Kuruta: Sina apetitte afande
Afande:Nini? Njoo, chukua hii mes tin
 
Wakati ana-ripoti kujiunga na JKT, John Mboya aliulizwa getini:

Afande: Kijana hapa ukiulizwa swali jibu unalotoa lazima umalizie kwa kusema "afande". Sawa kuruta?

Mboya: Sawa afande

Afande: Jina lako nani?

Mboya: Mboya afande

Afande: Unasema nini wewe? M.b.o.o ya afande?!! Tangulia uwanja wa damu!

Dah! kali kweli
 
JKT bwana, vituko tupu:
Afande: Wee kuruta, mbona huchukui chakula
Kuruta: Sina apetitte afande
Afande:Nini? Njoo, chukua hii mes tin

mkuu hapo afande baada ya kuambiwa sina apetitte alijibu "nenda stoo wakupe apetitte mbili haraka"
 
Mmmh ngoja warudi kutoka kwenye milima ya Navirunga.,wataivunjavunja Jey F kukusaka ww
 
Back
Top Bottom