Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Wakati ana-ripoti kujiunga na JKT, John Mboya aliulizwa getini:
Afande: Kijana hapa ukiulizwa swali jibu unalotoa lazima umalizie kwa kusema "afande". Sawa kuruta?
Mboya: Sawa afande
Afande: Jina lako nani?
Mboya: Mboya afande
Afande: Unasema nini wewe? M.b.o.o ya afande?!! Tangulia uwanja wa damu!
JKT bwana, vituko tupu:
Afande: Wee kuruta, mbona huchukui chakula
Kuruta: Sina apetitte afande
Afande:Nini? Njoo, chukua hii mes tin