Jamaa kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye kama Lulu na Majizo.Noma sana aiseee
Jamaa kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye kama Lulu na Majizo ila haimuingii akilini.Noma sana aiseee
Lulu na Majizo walifanyaje mzee?Jamaa Kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye Kama lulu na majizo
Kabisa mkuu na ndugu ambao hawajatoa wanapigwa chini.Hiyo Million moja kasoro inatosha kulipia photoshoot na dinner moja matata sana kwa hao hao waliochanga tuu!!
Tatizo lipo kwako Mwenyekiti. Jiuzulu kwa aibuJamaa Kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye Kama lulu na majizo ila haimuingii akilini
Kwa Hiyo hapo tatizo langu nini, mwenye harusi mwenyewe Bado anadaiwa na Mimi nimetulia nausoma mchezo.Tatizo lipo kwako Mwenyekiti. Jiuzulu
Kama Bwana harusi katoa laki 5 na bado michango haijafika milioni Basi usitafute mchawi. *Mchawi Ni wewe ndugu MwenyekitiKwa Hiyo hapo tatizo langu Nini, mwenye harusi mwenyewe Bado anadaiwa na Mimi nimetulia nausoma mchezo
Inawezekana sana tu na inakuwa na Raha yake mno. Watu wangu wa karibu huwa nawashauri hivyo wanakubali, baadae unashangaa kadi ya kuomba mchango. Sijui shida huwa ni Nini?Ivi kwani huwezi kufanya harusi pekee yenu bila michango?
Nauliza tu[emoji848]
Bwana harusi amehaidi kumalizia michango lini? Unaweza kuwashauri wapeleke harusi mbele, au la wafanye sherehe ndogo ya kishikaji, hakuna atakayewalaumu.Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Beans harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani nikama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.