Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Waswahili ndo maana malalamiko ya umasikini hayaishi. Uwezo mdogo. possibly ndo umemaliza masomo unaanza Maisha. kwa nini usifanye harusi ndogo wewe na mwenzako? kwa nini usumbue watu kuwachangisha? Fanya mambo yanayoendana na uwezo wako. Ukimchukua mwenzako mkaenda msikitini au kanisani utapungukiwa nini? Kusanya ulicho nacho, nenda church.
Padri au mchungaji awape baraka na mkamilishe taratibu za serikali. tafuta sehemu mkae na ndugu au jamaa wachache. kila mtu alipe bills zake..Maisha yaendelee.
Unataka sherehe kubwa na uwezo wa kuigharimia huna...ndugu yangu lazima uwe mwizi au tapeli tuu!