Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi ni kazi sana

Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?

Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani nikama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Bila shaka ni Mkristo sijui wakristo tunashida gani tubashindwa piga ndoa simple tu haya mashauzi kama huna ela acha tu ningekua muslim ni mkeka chapchap
 
Na zaidi ya hapo...wadada wa ista huwambii kitu..kuna jamaa angu nusu ya bajeti iliishia kwa MC ikabidi watu wachachamae 😂😂😂
Hahahahaaa hawa ndo wanawaponza wenzao mpaka maMC wote wanataka kuwekewa kodi na TRA. Yaaani mtu anakuja mil4 usiku mmoja tu kwa kuongea ongea?

Hapo kama kapiga zake na send off za alhamis jumamos harusi akabahatisha na jumapili bas J3 anaamka ana mil 10+
 
Jamaa kajibrand sana...acha ale matunda
 
Babu tatizo ni umasikini ukisema ujitutumue peke yako siku ya sherehe utakuja kuwalisha watu ugali na samvu
Kama umewaalika ndugu wa karibu na marafiki wa karibu tu, utakuta ni kama birthday party tu iliyochangamka, watu 50-70, unatumia chini ya mil2-3 max, COZ sherehe yaweza kufanyika nyumbani, bila gharama za ukumbi, vinywaji bei ya jumla, mpishi muziki na maturubai kidogo na mpambaji. Mc mwanafamilia.

Sherehe ya watu 300-600 70% wala hawawajui maharusi, ya nini.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Bwana harusi hayupo serious kabisa, ahadi 5M anatoa laki 5!!! Mimi nimeshakuwa mwenyekiti ktk harusi kadhaa, nakushauri.
Usikate tamaa uwa dakika za mwisho michango itatolewa sana. Wiki moja ya mwisho.

Mwambie jamaa aweke mezani ahadi yake, laah panga shehere kwa pesa uliyonayo mh.mwenyekiti.
 
Anamtaka mc garab [emoji23][emoji23][emoji23]...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu...yan kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne
Wewe Gara b anachukua m4 ?
 
Hivi analipwa Mil4??

Kuna watu wana hela aiseee( Za kuchezea)
Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.

Kwa sasa hivi kweli pesa anayo, mke wake ana masters ila alimpiga marufuku asifanye kazi kamnunulia Bmw x3.
 
Kwa nini kuhangaika na harusi kubwa namna hiyo na hawa wanawake wa kizazi cha dot.com? chukua kuku wawili peleka mahari beba mwanamke, nakwambia hiyo ndoa inaweza kudumu hadi kifo kuliko hizi ndoa za maonyesho..
 
Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?

Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Mtose tuu
 
😂😂😂😂😂mwambie bwana harusi mambo yatakua magumu mpaka anyooke na anyonyoke,kama mipango ya sherehe imefeli unadhani maisha ya ndoa yatakuwaje?, by the way tafuten odds nzur wekeni mzigo huko
 
Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.

Kwa sasa hivi kweli pesa anayo, mke wake ana masters ila alimpiga marufuku asifanye kazi kamnunulia Bmw x3.
Demand mzee...
 
Anamtaka mc garab [emoji23][emoji23][emoji23]...anaoa binti wa instagram au bwanaharusi naye ni walewale tu...yan kashindwa toa 5m anataka ampe mtu 4m kwa ajili yakupiga piga kelele masaa 3 sijui manne
Kwani huyo mc garab ada yake ni million 4
 
Laki moja mziki zile spika za kwenye library zinatosha

Laki moja kvant kubwa kumi
Laki moja bia kreti nne chukua zinazolewesha mapema

Ukumbi ni laki moja(ongeeni na mkuu wa shule yoyte awapen darasa moja siku za weekend wanafunzi hawaendi shule)

Laki moja chukua mbuzi wawili au watatu tengemeza supu moja matata ,weka pilipili nyingi ili kuweka speed gavana wasinywe kwa hasira au nunua gunia la mihogo katakata chips waambie inaongeza ngvu za kiume na hamu ya tendo kwa wadada

Laki moja nyingine ya hightable
(Wine moja,maji kubwa2,windock 2 heineken 2,keki ya elfu 40)

Shampeni moja ya elfu 30 ..
Kuhusu mavazi ya maharusi nunueni vikoi vya kimasai vile kama vitano au sita hivi ..(hapo mnajipamba afu mnazuga eti kiafrika zaidi) haizidi 70...

Kwenye hiyo milion 1...Chenji ntumieni
 
Back
Top Bottom