Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo kuja Jf kunitia Aibu ndo nini??Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Hivi kwani huwezi kufanya harusi pekee yenu bila michango?
Nauliza tu
Hahahahaa waliingia cha kikeNilishawahi kuwa mshika fedha ya shuguli moja hvi ndg hapo hapo nkapotea watu walisikiaa nko kusini nlijipatia nauli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitambo sanaaa hiyoo
Ova
harusi ni jambo la kifamilia mimi sitaki kabisa mambo yakuwekana mbele kama padri anaongoza ibada. Kuna rafiki yangu alifunga ndoa mwezi uliopita, aliweka milioni 5 hakuna mchango wa mtu. Tulitoa order hotel moja matata waandae chakula chenye thamani ya sh 20,000 kwa kila mtu, vinywaji tulipiga bajeti ya bia 10 kwa kila mtu yani 25,000 (kumbuka wengine hawanywi pombe gharama inashuka) jumla max 45,000 kwa kila mtu. Waalikwa 30 upande wa bibi na 30 baba.. 45,000*60=2,700,000 iliyobaki ilitumika kwenye mavazi na vitu vingine vidogo vidogo. Sehemu ya shughuli hotel waliandaa kwa gharama zao cause ni order kubwa.. watu walikula wakasaza, wakatambaa tulikesha mpaka majogoo..
Kuna siri moja nime-note kwenye harusi za namna hii hapa Bongo. Mafukara ndiyo hutaka harusi za gharama.Ujinga mwambie bwana harusi achanganyikiwe mpaka atembee uchi, ka pledge 5M katoa laki5, anataka mambo makubwa asiyo na uwezo nayo, stupid!
Alitangaza hivyo mwisho wa siku zawadi ingetokea kwenye hela aliyojitangazia, angesema tiyari kawekewa kwenye account, fool!
Aende kanisani akitoka hiyo laki5, aende fungate na mkewe siku 2, wakirudi, maisha yaendelee.
Atakoma kama anaoa wadada wa Instagram.
Everyday is Saturday................................😎
Hii ndiyo harusi ya watu wenye akili. Maskini wengi wana inferiority complex hivyo huwa wanaona kufunga ndoa ndogo ni kujidhalilisha.harusi ni jambo la kifamilia mimi sitaki kabisa mambo yakuwekana mbele kama padri anaongoza ibada. Kuna rafiki yangu alifunga ndoa mwezi uliopita, aliweka milioni 5 hakuna mchango wa mtu. Tulitoa order hotel moja matata waandae chakula chenye thamani ya sh 20,000 kwa kila mtu, vinywaji tulipiga bajeti ya bia 10 kwa kila mtu yani 25,000 (kumbuka wengine hawanywi pombe gharama inashuka) jumla max 45,000 kwa kila mtu. Waalikwa 30 upande wa bibi na 30 baba.. 45,000*60=2,700,000 iliyobaki ilitumika kwenye mavazi na vitu vingine vidogo vidogo. Sehemu ya shughuli hotel waliandaa kwa gharama zao cause ni order kubwa.. watu walikula wakasaza, wakatambaa tulikesha mpaka majogoo..
Sherehe ya harusi inafanyikia mkoa gani?Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Kabisa mkuu na ndugu ambao hawajatoa wanapigwa chini.
Milioni moja kwetu inatosha mahari na gharama za harusi. Acheni kuendekeza ujinga!Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Chukua hiyo milioni moja weka mkeka wa odd 2 kila siku baada ya wiki moja mnafanya bonge la sherehe dadekiPledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Dini gani?Milioni moja kwetu inatosha mahari na gharama za harusi. Acheni kuendekeza ujinga!
Na hapa hata tungetaka kutumia mil 200 uwezo huo tulikuwa nao bila kumchangisha mtu... Watu walikuwa surprised kusikia tangazo la kwanza la ndoa kanisani..Hii ndiyo harusi ya watu wenye akili. Maskini wengi wana inferiority complex hivyo huwa wanaona kufunga ndoa ndogo ni kujidhalilisha.
Hatoboi kamwe huyo....Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Una experience na harusi ngap mkuu? Usimpeleke mwenzio korongoniKawaida kwenye michango ya harusi bado siku mbili au moja utashangaa mihela hiyo.