Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mc tajiri mjini hapa....Hivi analipwa Mil4??
Kuna watu wana hela aiseee( Za kuchezea)
Mamc wengi top ni 2m hata huyo garab ila jamaa noma kuanzia alhamisi mpaka jumapili already booked....jumatatu anaamka na 8M kumbuka na dili la picha plus video anachukua yeye so uwezekano wa kufika 4m upo......Mimi namjua kiasi kwakua ni rafiki wa familia jamaa miaka ya 2010 alikua mwalimu tena kule Temeke secondary najua analipwa si chini ya m2 sasa hiyo m4 sijui.
Kwa sasa hivi kweli pesa anayo, mke wake ana masters ila alimpiga marufuku asifanye kazi kamnunulia Bmw x3.
We ni mwanamke[emoji44][emoji44]Na hapa hata tungetaka kutumia mil 200 uwezo huo tulikuwa nao bila kumchangisha mtu... Watu walikuwa surprised kusikia tangazo la kwanza la ndoa kanisani..
Wedding ceremony ni event yenye utulivu wa hali ya juu angalia wedding za wazungu, philipines na kenya. Hizi za bongo huwa ni vurugu tupu ukumbini na complications kibao mara sijui mziki unapigwa sekunde 30 mc ame interact, sijui kutambulisha, zawadi watu wanabeba li fridge, pikipki, mabeseni, vigoda, cheers, wosia arggghhhh upumbavu tupu tulikataa haya ukizingatia mwamba ni mtu mpole kiasili
Na hapa hata tungetaka kutumia mil 200 uwezo huo tulikuwa nao bila kumchangisha mtu... Watu walikuwa surprised kusikia tangazo la kwanza la ndoa kanisani..
Wedding ceremony ni event yenye utulivu wa hali ya juu angalia wedding za wazungu, philipines na kenya. Hizi za bongo huwa ni vurugu tupu ukumbini na complications kibao mara sijui mziki unapigwa sekunde 30 mc ame interact, sijui kutambulisha, zawadi watu wanabeba li fridge, pikipki, mabeseni, vigoda, cheers, wosia arggghhhh upumbavu tupu tulikataa haya ukizingatia mwamba ni mtu mpole kiasili
Hahaha ndugu uko on fireChukua hiyo michango (milioni kasoro) SEPA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka hapo kwenye supuLaki moja mziki zile spika za kwenye library zinatosha
Laki moja kvant kubwa kumi
Laki moja bia kreti nne chukua zinazolewesha mapema
Ukumbi ni laki moja(ongeeni na mkuu wa shule yoyte awapen darasa moja siku za weekend wanafunzi hawaendi shule)
Laki moja chukua mbuzi wawili au watatu tengemeza supu moja matata ,weka pilipili nyingi ili kuweka speed gavana wasinywe kwa hasira au nunua gunia la mihogo katakata chips waambie inaongeza ngvu za kiume na hamu ya tendo kwa wadada
Laki moja nyingine ya hightable
(Wine moja,maji kubwa2,windock 2 heineken 2,keki ya elfu 40)
Shampeni moja ya elfu 30 ..
Kuhusu mavazi ya maharusi nunueni vikoi vya kimasai vile kama vitano au sita hivi ..(hapo mnajipamba afu mnazuga eti kiafrika zaidi) haizidi 70...
Kwenye hiyo milion 1...Chenji ntumieni
Mauki mbona cheap tu laki 2 unapata huduma classic. Alternatively, Kama vp chukua kilichokusanywa pita hiviUjinga wa harusi za siku hizi za mjini usipoonekana kwenye page ya mc garab bado ujafanya harusi WTF
Km uliowa / kuolewa watu wanajua mambo ya harusi zinavyokuwaga.Una experience na harusi ngap mkuu? Usimpeleke mwenzio korongoni
Ooh mkimya,... Bila shaka huyo jamaa ni introvert.Na hapa hata tungetaka kutumia mil 200 uwezo huo tulikuwa nao bila kumchangisha mtu... Watu walikuwa surprised kusikia tangazo la kwanza la ndoa kanisani..
Wedding ceremony ni event yenye utulivu wa hali ya juu angalia wedding za wazungu, philipines na kenya. Hizi za bongo huwa ni vurugu tupu ukumbini na complications kibao mara sijui mziki unapigwa sekunde 30 mc ame interact, sijui kutambulisha, zawadi watu wanabeba li fridge, pikipki, mabeseni, vigoda, cheers, wosia arggghhhh upumbavu tupu tulikataa haya ukizingatia mwamba ni mtu mpole kiasili
Km hataki mwambie aweke milioni 18 mezani,atulie mipango iendelee.AU mwite aje mpigie bajeti hiyo laki tano sherehe ufanyike.Yy awe mkiti wa hicho kikao Cha bajeti.Jamaa kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye kama Lulu na Majizo.
Haisaidii kwa sasa.Kinachotakiwa Ni hela na hamna.huyo bwana harusi km alikuwa hachangii wengine alitarajia nn.PILI aliunda kamati ya watu wa aina gani.Km uliowa / kuolewa watu wanajua mambo ya harusi zinavyokuwaga.
Swali kwako ulisha owa/ kuolewa tupe experience ya ndoa yako ilivyokuwa.
Yeye mwenye haruPledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Atoe hizo 5M kwanza. Mpuuzi mmoja huyo.Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano tu, nyingine hajatoa, anamtaka MC Garab wakati uwezo hana, yaani ni kama ndugu wamemsusia, simu hawapokei, nimemshauri asifanye sherehe ni kama haelewi, sijui itakuwaje.
Ngoja tuone km haijafanyika mkuuHaisaidii kwa sasa.Kinachotakiwa Ni hela na hamna.huyo bwana harusi km alikuwa hachangii wengine alitarajia nn.PILI aliunda kamati ya watu wa aina gani.
kana kachanhanyikiwa asifanye harusi mpeleke hospitali ya vichaa mirembeJamaa kama kachanganyikiwa hivi, nimemshauri afanye kama Lulu na Majizo.