Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ieleweke hivyo.
Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka.
Mifano ni mingi sana watoto wakike wengi wamezalishwa ovyo kwa tamaa ya kuwa na I phone au simu kali kali siyo kwamba kwao wanalala njaa hapana ni bali ni tamaa tu.
Wanaume hasa vijana chini ya miaka 30 wengi wamepoteza ubingwa kwa tamaa vitu vidogo sana na vya muda mfupi mno na kujikuta wameingia kwenye ushoga nk.
Jana kuna msela wetu hapa site kapoteza kazi baada ya kukamatwa kaiba kitu chenye thamani ya 15,000 tu.
Lakini jamaa huyu alikuwa na gari amejenga watoto anasomesha shule nzuri na mshahara mzuri.
Kwa kitengo alicho nacho lazima alikuwa na basic salary ya m4+ uki weka na allowance zote muhimu aokote m6 kwa mwezi cash bila makato.
Imagine tamaa imemponza je huyu atakaa asimulie hata watu kweli?
Hapa pia huwa nawaona wadada wetu wa kibongo wenye mishashara minono tu wakiliwa na kufumliwa marinda na wageni wa kuja (white people) kwa taama ya pesa wala sio maisha magumu tena!!
Hivyo mimi nikimuona kahaba anajiuza huwa najua wazi kabisa huyu ni Malaya tangiapo tu na hata angekuwa na hadhi kubwa kiasi gani bado angejiuza kulingana na hadhi yake.
Tunaona mitaani wadada wanauza vipande vya matikiti ambapo mtaji hauzidi hata 15k lakini anaamini ipo siku atatoka hapo kuliko kwenda kuoanga foleni ya maalumu kujiuza kabisa uhakika!
Malaya unahongwa laki2 lakni bado huoni haikutoshi kuanza ka business fln bado unategemea kuuza nyapu yako tu sasa kama sio tabia yako hii ni nini?
Tumeona connection za master wetu wakike zikivuja wakiliwa na wengine kuingilia kabisa kinyume na maumbile je utaniambia hao wanamaisha magumu kiasi kwamba hawana namna nyingine kabisa ya kufanya ila kujiuza tu?
Jibu ni moja tu hiyo ni tabia yao na kamwe hawezi acha!
Kuna wanaume sijui ni kurogwa ama ni nini yaani unaoa Malaya ukiwa na matumaini eti atabadirika ni ugumu wa maisha tu ndo ulimfanya ajiingize huko Bro unajidanganya na umeliwa tiyari.View attachment 3379816