Nyuzi kama hizi zikikukuta gambe limepanda kichwani huwa hushikiki bwasheeKwamba mimi ni mwizi bwashee ๐
Wee jamaa ni geniusKukausha ndo utu sasa hata wewe hapo unatamani kuwa kama Mo lakini kamwe hutamani kuua ili utajirike japo uwezo huo ukiamua unao na unaweza!!
Mimi ni mwanaume mkuu..Wewe ni mwanamke ?
Kama siyo unawezaje kuelezea matamanio ya wanawake kwa kujiamini kiasi hicho ?
Asante mtaalamuMimi ni mwanaume mkuu..
Kama uamini tukutane live live alafu kwanza nitataka tupigane maana naona dharau wazi wazi..
.oky kuhusu kuelezea matamanio ni vile nafanya research nakumbuka mwaka wa mwisho namaliza chuo pale mlimani tulipewa kazi ya research ambayo nimefanya ndani ya miaka miwili.
Mkuu cha kuingezea tu ni kuwa unaongea na mwana saikolojia ambaye degree yangu nimemalizia udsm na kujiendeleza zaidi upande wa haki za mama na watoto ....kwa sasa nafanya kazi kama kaimu katibu chama cha wanawake tanzania..
Karibu sasa.. ..
Karbu mkuuAsante mtaalamu
Kuna mambo hata life likuchape namna gani, uwe mazingira gani huwezi kubali kulifanya.Siku hizi watu hawaishi kwa tabia zao ila wanabadilika kulingana na maisha yanavyobadilika. Watu unaowaona wana maadili mema kimsingi wamekosa tu nafasi na uwezo wa kutenda maovu.
Shuhuda za wanawake wazuri wenye misimamo ipo kibao tu, ila tu ni vile wazee wa excuses hawakosi visababu.Huyo alikuwa malaya tu. Mifano kama hiyo mimi bro aliwahi firisiwa na bank kilakitu akakoswa wahuni wa mtaa wakajipenyeza kwa mke wa bro kuwa wampe mtaji nk lakin hakukubali na mambo mengine mengi.
Bro aliyumba mno hadi mke akarudi kwa wazee kuanza upya na familia yake bro akazamia Dar then south muda huo shem hata mafuta ya kupaka tuna mpa sisi.b
Bro hata kwenye simu tu hapatiakani alianza kututafuta baada ya miezi saba tyr akiwa SA Na akawa anatuma hela mara akatuma mtaji kwa shemeji akafungua duka la vipozi kama lile walilokuwa nao kabla ya kufirisiwa na bank.
Mwaka wa2 bro ndo akarudi.
Huyu mwanamke ni wale wanyatunzu weupe wazuri na warefu sana kila mtu alishangaa mno mwanamke kusimama.
Ni mfano tu ukisema hawana chochote unakosea wengi wao walao Wana uhakika wa kula. Hizo mbwembwe zote unazowaona nazo za kupalamia maisha ya juu ndo tamaa yenyewe kamwe wewe hata ukilala njaa huwezi fikiria Wala kuwaza ukajiuze au uingiliwe kinyume na maumbile eti ule au ununue simu huwezi kamwe iwapo utaweza tu hiyo ni tabia Yako na hata kama ungekuwa na Mali kiasi Gani Bado ungekuwa tuHao unaowaita mastar hawana chochote huoni wanaugua Malaria wanachangisha michango?!
Naungana nawewe mkuu. Mimi bro mwenyewe Huwa anatutambia kabisa Kwa kusema nitafanya ujinga wote lkn huyu mwanamke hakika ni WA kipekee sana.Shuhuda za wanawake wazuri wenye misimamo ipo kibao tu, ila tu ni vile wazee wa excuses hawakosi visababu.
Kuna binti kamuuguza mumewe kwa almost miaka miwili na yeye (ke) ndo provider mkuu, watu wa nje walikua wakimshangaa kwa uzuri ule kwanini aendelee kubaki na jamaa maana hadi familia ya mchizi ilimtenga alibaki na mkewe tu.
Mpaka mume kaja kupata nafuu mke hakuonesha dalili zozote za utovu wa nidhamu wala umalaya.
Umalaya ni tabia, utaificha ila utaitafutia sababu tu.
Nikweli kabisa na Nina mifano.Kuna familia Zina vinasaba vya wizi, uzinzi, roho mbaya, ushirikina hawawezi kuacha hata tufanye nini
Wizi ni tabia mkuu.Naungana nawewe mkuu. Mimi bro mwenyewe Huwa anatutambia kabisa Kwa kusema nitafanya ujinga wote lkn huyu mwanamke hakika ni WA kipekee sana.
Kwa Hali yoyote Ile mwanamke akikuambia eti anafanya umalaya Kwa ugumu wa maisha sio kweli ni tabia yake tu wangapi wamama wazuri wazuri tunawaona wanaponda kokoto na ni ma single mother?
Huwa sikubali na sababu yoyote.
Imagine jamaa aliyefukuzwa alikuwa anaiba copper wire anaweka kwenye viatu (safety boots) anakusanya akifikisha kilo ndo auze 15k na amefanya Kwa muda mrefu.
Mwingine nae alikuwa anaiba zile soldering wire (Sina hakika na spelling) mitaani zinajulikana kama risas hutumia mafundi wa electronics
Naye ilikuwa kazi yake pamoja na Kwamba analipwa zaidi ya m2
Kama sio tabia Yako huwezi kwanza utatetemeka mno