Kuwa na furaha ndiyo amani yenyewe ya moyo

Kuwa na furaha ndiyo amani yenyewe ya moyo

Acha ukorofi,Kuna muda mwacheni apige story jamani, please
Halafu imetokea nimefungua uzi nimewakuta 😹😹

Ngoja nilale endeleeni mi mwenyewe shabiki yenu na story zenu 😜
 
kama furaha ndio amani mkuu, Basi pesa haina uwezo wa kuleta amani, kama ni hivyo basi pesa haina uwezo wa kuleta furaha.

Kwako ukiwa na pesa unapata furaha, ni kwa sababu hizo pesa huna, ungekuwa nazo ungesema jambo lingine kabisa
Hapana,pesa inabeba vyote
 
Nikiona watu wangu wa karibu hasa wazazi wanafuraha napata amani ya moyo.

Pia nikiweza kuafford mambo nayoyataka bila kumbugudhi mtu nakuwa na amani tele.

Plus, hivi vitu vitatu nikipata nalala fofofo; mbususu tamu, chakula kitamu, na kibunda.
najiuliza kwanini Sir wetu alifanya sex kuwa pleasurable kwani isingekua ivyo watu wasingefanya sex kwaajili ya kuzaliana tuu.. mhhh respect to Sir
 
natamani sana kila mtu ajue siri kubwa nilio nayo moyoni mwangu ijapo kua niukweli unao uma saaana.saana.
kuamini kwamba dunia haipo,maisha yako yote haya ni uongo.
jambo hili nikichaa pekee anae weza kunielewa bali alie msomi anauhakika mimi nahao vichaa tuko sawawa.
 
Back
Top Bottom