DIT na Veta Kuanzisha Kozi Kwajili ya Mafundi Simu TanzaniaWadau!
Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA).
Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
Hivi hii niWadau!

Bodi ya kunyonya mtajiHivi hii ni
Mamlaka ya mawasiliano?
Au
Ni wakala wa TRA?
Au
Ni bodi ya ufundi?
Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.Mkuu tulipofikia kila mmoja wetu atawajibika kulingana na kitengo alichopo alimradi salio kwa serikali liingie,ukitaka kuamini angalia hata wastaafu wametungiwa sheria mpya kwamba unatakapostaafu utapewa 25% ya mafao yako kisha 75% utachukua kidogo kidogo ili hela yako bado iwe kwenye mzunguko wa mkono wa serikali.
Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
TRA kwasasa wana mawakala kila kona na police wakiwepo.Hivi hii ni
Mamlaka ya mawasiliano?
Au
Ni wakala wa TRA?
Au
Ni bodi ya ufundi?
Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufunguiWadau!
Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA).
Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
Mkuu, hauko sahihi sana! Walioko PSPF wajibu hiliSisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
Huu ndio kweli, babangu amestaafu 1997 hadi leo anaendelea kulipwa ingawa kidogokidogo!!Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
Kwa kweli Afrika na waafrika tunaumizwa na watawala ambao wamegeuka kuwa wanyonyaji na wakoloni:Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufungui
Mkuu tulipofikia kila mmoja wetu atawajibika kulingana na kitengo alichopo alimradi salio kwa serikali liingie,ukitaka kuamini angalia hata wastaafu wametungiwa sheria mpya kwamba unatakapostaafu utapewa 25% ya mafao yako kisha 75% utachukua kidogo kidogo ili hela yako bado iwe kwenye mzunguko wa mkono wa serikali.
Mkuu ulipotea habari za wapi ulikua Sumbawanga ama Tanga?Hivi hii ni
Mamlaka ya mawasiliano?
Au
Ni wakala wa TRA?
Au
Ni bodi ya ufundi?
Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufungui