Kuwa na Leseni za biashara sasa limekuwa jambo la lazima

TyreQ

Senior Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
130
Reaction score
125
Wadau!
Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA).

Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
 
Mkuu tulipofikia kila mmoja wetu atawajibika kulingana na kitengo alichopo alimradi salio kwa serikali liingie,ukitaka kuamini angalia hata wastaafu wametungiwa sheria mpya kwamba unatakapostaafu utapewa 25% ya mafao yako kisha 75% utachukua kidogo kidogo ili hela yako bado iwe kwenye mzunguko wa mkono wa serikali.
 
DIT na Veta Kuanzisha Kozi Kwajili ya Mafundi Simu Tanzania
hili zoezi lipo tena la zamani sana toka miaka ya 2000.TCRA wanaamka wanalala tena wanaamka
 
Wadau!
Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA).

Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
Hivi hii ni
Mamlaka ya mawasiliano?
Au
Ni wakala wa TRA?
Au
Ni bodi ya ufundi?
 
Mkuu tulipofikia kila mmoja wetu atawajibika kulingana na kitengo alichopo alimradi salio kwa serikali liingie,ukitaka kuamini angalia hata wastaafu wametungiwa sheria mpya kwamba unatakapostaafu utapewa 25% ya mafao yako kisha 75% utachukua kidogo kidogo ili hela yako bado iwe kwenye mzunguko wa mkono wa serikali.
Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
 
Vipi kuhusu wabunge!?
 
Wadau!
Nimemsikia mkuru flani wa TCRA anasema kila fundi simu, Redio na Tv kuwa na leseni ya TCRA. Pia akaongeza kuwa na wauzaji waote wa vifaa hivi wawe na leseni hiyo (means ya biashara na ya TCRA).

Je leseni hizi zinatoka bure au nazo zinahitajika bakshishi?
Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufungui
 
Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
Mkuu, hauko sahihi sana! Walioko PSPF wajibu hili
 
Sisi wa PPF tulishazoea hiyo 25% na75%. So no change. Kwa wale wa PSPF na LAPF walizoea 35% na 65%. Hao wameathirika. Kusema wastaafu wameathirika wote ni kuongea uongo. Pia hakuna waliokuwa wakipata 100% na 0%.
Huu ndio kweli, babangu amestaafu 1997 hadi leo anaendelea kulipwa ingawa kidogokidogo!!
 
Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufungui
Kwa kweli Afrika na waafrika tunaumizwa na watawala ambao wamegeuka kuwa wanyonyaji na wakoloni:

Nchi yenye Gesi kila kona ya nchi, makaa ya mawe, Uranium, dhahabu,milima ,mabonde,wanyama,mito, samaki na bahari kubwa, Maziwa,Almasi, Vito vya thamani na ardhi kubwa yenye rutuba lakini watu wake wanatumikishwa kama watumwa ili tu watawala waishi kama wafalme.

Viongozi na watawala wameshindwa kukuza mabilioni ya ujazo wa gesi tuyonayo kwa wawekezaje na nje ya nchi ili watu maskini wanaohangaika kupata hela ya kula tu kwa siku waishi dunuani kama binadamu?
Wanyama wamejaa maporini na milima kwa ajili ya utalii badala ya kwenda kutafuta watalii huko nje wanakimbizana na watoto wa maskini kibabe na kuwajaza magerezani.

Kama vipi bora waruhusu hata bangi iuzwe nchi za nje tu lakini isitumike ndani! Watapata makodi mengi sana bila kuumiza wanyonge.

Mungu alitupa vitu vyote ili tuishi kwa raha sio karaha za watawala. Wanaiga makodi ya wakaoloni na mifumo ya kiutawala wakati mali za asili zipo ili tuishi kilaini kabisa.
 
Mkuu tulipofikia kila mmoja wetu atawajibika kulingana na kitengo alichopo alimradi salio kwa serikali liingie,ukitaka kuamini angalia hata wastaafu wametungiwa sheria mpya kwamba unatakapostaafu utapewa 25% ya mafao yako kisha 75% utachukua kidogo kidogo ili hela yako bado iwe kwenye mzunguko wa mkono wa serikali.

Tukamuliwe hadi mafuta yatoke au sio
 
Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu kufanya biashara, unafungua kibiashara una kamtaji ka milioni tatu, ulipe kodi ya pango, ulipe kodi tra, bado uchafu, bado ulinzi, bado fire, bado ulipie bango, bado gharama za umeme, mara leseni za TCRA, mara leseni ya manispaa, hujakawa sawa utaskia mchango sijui wa kitu gani mwisho wa siku biashara inakufa au unaamua hulipi kodi siku uksikia tra wanapita hufungui

Umesahau kodi ya huduma
 
Umesahau kodi ya jiji[emoji19]
 
Back
Top Bottom