Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

Nimecheka sana.
Yaani miamala ya tigo pesa daily na galaxy juu alafu hujapata kitu!!!!
Daaaa huyo binti ni tapeli

we acha tu !!.
Ila baadhi ya madogo wanaokoment upuuzi while I am seriuos wananitia hasira kinyama
 
Mkuu nadhan unakosea kwenye strategy tu. Hawa watoto unaeza kuwachukulia watoto ila wanakuzid ww kwa hayo mambo. Badili strategy mchukulie km mtu mzima mwenzio tu utafanikiwa.
 
Dah, umenikumbusha sana, nikiwaga chuo second year kuna mtoto alikua form 5 kisu hatari, alikuaga ananizungusha sana, yaani unaweza kupanda daladala mkakutane maeneo flani Mara hapatikani, Mara simu inaita tu, badae anakujibu simple tu "nilipitiwa na usingizi"

Nishawahi kukoswakoswa na mbwa kisa kumfuatilia yeye! Alikua anasoma TAMBAZA.
Ulikuw una react vip, hapo kwny simple reply Mkuu????
 
Kwa hiyo wewe ni muharibifu siyo, sasa jiulize haya unayofanya kama njemba mwingine angemfanyia mwanao utajisikiaje? Laana zingine wazazi uchwara mnajipa wenyewe, shauri yako.
Kila mtu anapambana na hali yake mm nina mabinti pia najua uchungu wa mwana ila no way hivi vitu vipo ili vifanywe.
 
Dah, umenikumbusha sana, nikiwaga chuo second year kuna mtoto alikua form 5 kisu hatari, alikuaga ananizungusha sana, yaani unaweza kupanda daladala mkakutane maeneo flani Mara hapatikani, Mara simu inaita tu, badae anakujibu simple tu "nilipitiwa na usingizi"

Nishawahi kukoswakoswa na mbwa kisa kumfuatilia yeye! Alikua anasoma TAMBAZA.
Yani hawafai ni zaidi ya pasua kichwa mm leo nmetoroka job ili tukutane saa sita but mpaka sasa kimya thats y I have let her go.
 
Daah muvi tamu kweli..kweli mkuu ww ni mtunzi mzuri wa riwaya..[emoji3]
 
Back
Top Bottom