Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

Nimecheka sana.
Yaani miamala ya tigo pesa daily na galaxy juu alafu hujapata kitu!!!!
Daaaa huyo binti ni tapeli


we acha tu !!.
Ila baadhi ya madogo wanaokoment upuuzi while I am seriuos wananitia hasira kinyama
 
Mkuu nadhan unakosea kwenye strategy tu. Hawa watoto unaeza kuwachukulia watoto ila wanakuzid ww kwa hayo mambo. Badili strategy mchukulie km mtu mzima mwenzio tu utafanikiwa.
 
Ulikuw una react vip, hapo kwny simple reply Mkuu????
 
Haaahaa! Ungemsikia akiongea na age mate wake kuhusu wewe! Ungejihurumiaaa.
 
Kwa hiyo wewe ni muharibifu siyo, sasa jiulize haya unayofanya kama njemba mwingine angemfanyia mwanao utajisikiaje? Laana zingine wazazi uchwara mnajipa wenyewe, shauri yako.
Kila mtu anapambana na hali yake mm nina mabinti pia najua uchungu wa mwana ila no way hivi vitu vipo ili vifanywe.
 
Yani hawafai ni zaidi ya pasua kichwa mm leo nmetoroka job ili tukutane saa sita but mpaka sasa kimya thats y I have let her go.
 
Daah muvi tamu kweli..kweli mkuu ww ni mtunzi mzuri wa riwaya..[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…