Kuwa na mahusiano na watoto ni kazi kweli kweli japo they are very sweety

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu vitoto vya hivyo agemate huwa tunakula kisela!!!
Zamani nilikuwa nikioba mabrother na madem wakali nilkuwa nikesma "wakubwa wanafaidie"
Sikuhizi naona madogo ndio mnafaidi !
Haya bhana!
Ukiwa kijana around 18_30 unakuwa na opportunity nyingi, wakati mwingi, nguvu nyingi ila pesa zinakuwa hazitoshi kuuridhisha mwili kwani ni moto hatari!

Ukiwa na 40_60+ unakuwa na pesa nyingi ila hauna mda, nguvu, atraction !
Hivyo sishangai nawaachia vijana wadogo muendelee .
 
Duuu, nimeshakujua ,,,
 
Kama namuona karma anavyokuzawadia kitoto cha kike.

Kudaadeqi.
Nalianza kuhisi hii ni kweli baada kupata mtoto wa kike nikiwa Chuo na kanavyokua ndio kanazidi kuwa karembo yani. Daah! I will do anything in my power kukalea vizuri. Wale nilichafua tena sana wanisamehe.
 
Nalianza kuhisi hii ni kweli baada kupata mtoto wa kike nikiwa Chuo na kanavyokua ndio kanazidi kuwa karembo yani. Daah! I will do anything in my power kukalea vizuri. Wale nilichafua tena sana wanisamehe.
I wonder if that hoe is forgiving (karma)
 
Asikwambie mtu. Kuku watekewateke ndo wanakuaga watamu.
Mniombee tu. Maana miaka 30inaniita[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Acha woga kijana
Sio woga,ila majuto ni mjukuu!au hujawahi achwa na gari halafu ukapanda jingine,kisha ukakuta lile lililokuacha limepata ajali na abiria wamepoteza Maisha wote?????!basi,usililie kilichokuponyoka,maana vingi huwa ni ushuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…