safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki.
Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez kulisema jambo hilo.
Wanaume tunapitia mengi sana kiasi kwamba kuna wakati unahitaji mtu wa kukaa naye na kuelezea hisia zako.
Hisia ni vitu na vinaoccupy space kwenye akili,hivyo unapokuwa na hisia zinazoumiza maana yake hivyo ni vitu vilivyo occupy nafasi katika ubongo,yaani vimechukua nafasi so lazima vikuumize.
KUzungumza hisia zako kunafanya upunguze vitu hivyo na hatimae kupunguza mzigo katika akili.
Mdomo ni uwazi unaopunguza vitu vilivyojaa akilini kama aambavyo tundu huvujisha maji yaliyojaa chomboni.
Ukiona umekaa na jambo lako zito la kimaisha linakutesa na kukupa hisia zinazoumiza basi make sure unaye rafiki wa kumuelezea shida zako akakusikiliza.
Kuna wakati baadhi ya mambo huwezi kumuambia mkeo lazima utafute mwanaume mwezio umchane ili nafsi itulie.
Tunawahitaji sana marafiki katika maisha yetu,marafiki ambao tuko free kuwaambia mambo yetu na kushea nao vitu mbalimbali.