Rafiki mzuri niyule ambae ukijitazama kwenye kioo hakika unamuona yeye.
Rafiki bora niyule ambae huwezi kujitofautisha nae..yeye ndio wewe nawewe ndie yeye.
Sasa kwabahati mbaya sana duniani ni 2 kwa elfu1.
Ninjia ipi yakumpata rafiki
Huyo???????????????????
Njia nimoja tuu.
1=ukijitazama kwenye kioo umuone yeye.
πππππ