Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mhm initia mashaka kwa kwel inabidi ata kama umependa ID ya mtu humu ukaushe tu[emoji14]
Ili aje kunifungulia uzi humu nina kichwa kama karungu yeye 😜😜😜 woiiiii mimi sio fala.Acha Uoga We Mzee Ajali Kazini
Ili aje kunifungulia uzi humu nina kichwa kama karungu yeye [emoji12][emoji12][emoji12] woiiiii mimi sio fala.
Mbona wenzio wanajitoa muhanga.. Liwalo na liwe😃Woiiiiiii kama umeshasema hivyo Acha niache[emoji119]
Ajabu sana huyu mtu ☺️Hadi matusi analike yaani🙄
Una uhakika?Na wakaka wa humu wanajua kuLove 🙊
Na ukidondokewa yan mpk PM za salam unajionea tabu kujibu, mtu anakuPm kumbe lengo aulize njia ya kwenda jukwaa la mapishi. 🤣🤣
Hapana 🙊Una uhakika?
Ukizubaa kina kuramba🤣🤣🤣Dah upo sahihi sana.
Kule nadhani wanafuata kuchukua moto, sijawahi usiseme tuna sema wana.Sasa huko mnapeleka moto au mnaenda kuchukua moto
Ila kwel lakiniMbona wenzio wanajitoa muhanga.. Liwalo na liwe😃
SeeKule nadhani wanafuata kuchukua moto, sijawahi usiseme tuna sema wana.
Nime kuelewaKuwa na mpenzi JF ni Scum na ni Fraud
Shauri Yenu.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣tulia dawa ikukolee 🥴hii ndio fahari ya kupeleka binti skuli wallah
Kumbe kaolewaSuhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki