Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Sasa ndo utofauti wenu na mabinti zamani wao hawakua hvo .....siku hz unakuta kbs mshangazi aliezaliwa Kati ya 1998-2004🤣 nae hana akili kbs Hapo hujakutana na mibibi ya 90's🤣 yaan full vurugu tu
Shindwaaaaaaaaaaaaaa 1998-04 mshangazi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 halafu 90 awe bibi ? Sisi wa 84-89?
 
Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.


Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa


Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
Umeachana Na mume wako?
 
Back
Top Bottom