Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Labda jamaa anataka kuchapiwa na mabaharia wa hapa JF...Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea
Habari wana Jamii, Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu. Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu. Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza...www.jamiiforums.com
Bai ze wei hayanaga mwongozo!