Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko hivyo tangu na tangu, Either awe majasiri waua simba, shupavu wa kulima kijijini, na vingine vya udume udume sasa we leo unataka nipende tu komwe lako au vipensi vinjunga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nehi nehi. BTW this is new testamentSijui nikujibu vp lkn kwa nyakati zle wadada walikua wanapenda mtu lkn nyakati hz upendo ni mpka uwe na potentiallity flan either cheo, utajiri au talent
Hatari sana…..Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea
Habari wana Jamii, Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu. Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu. Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza...www.jamiiforums.com
Zilikua ni added advantage tu hazikuwazuia wengine kuoa watoto wazur wazur.... unafkir Ibrahim alikua na maajabu gani hadi kumuoa Sara (Sara alikua pisi kali kasome vzr), Kuna yule askari ambae alipelekwa Frontline baada ya mke wake kupigwa na Daudi... issue ni kwamba hzo Mali, vyeo na vipaji kugeuzwa kua OTP ya mahusianoIko hivyo tangu na tangu, Either awe majasiri waua simba, shupavu wa kulima kijijini, na vingine vya udume udume sasa we leo unataka nipende tu komwe lako au vipensi vinjunga 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nehi nehi. BTW this is new testament
uzuri sijawahigi kukukubalia kitu oote. Kukataliwa na kuendeleeAikoooo! 🤣 🤣 🤣 🤣 Ulivyokua hujui kufunga mdomo huo, lolote likukute tu halali yako. itabidi nije sasa nipakate, usikatae mwayaa
Suhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbunge mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi habari mwenyewe zilinishtua sana.
Mahi watu wako inruvendelea tu
Mbona nilisoma mahali wewe ni wa kaka nanihii jamani😁😁😁Wacha nikae vizuri humu labda na mimi ipo siku nitaleta uzi wa kudondokeana na mwana Jf👩❤️💋👨👩❤️💋👨
Ibrahim babaake tera alikua don wewe alikua Mfugaji na ma V8 Mengi (magari ya Punda). 🤣 🤣 🤣 na sahivi tunataka ambacho huna, ukiwa na hela tunataka Body and viceversa, Ukiwa na body tunataka Gari, kuvulugana tu kila mtu ashinde zake 🤣🤣🤣🤣 Upendo umepoa, si nimekwambia tupo new testament RingoZilikua ni added advantage tu hazikuwazuia wengine kuoa watoto wazur wazur.... unafkir Ibrahim alikua na maajabu gani hadi kumuoa Sara (Sara alikua pisi kali kasome vzr), Kuna yule askari ambae alipelekwa Frontline baada ya mke wake kupigwa na Daudi... issue ni kwamba hzo Mali, vyeo na vipaji kugeuzwa kua OTP ya mahusiano
uzuri sijawahigi kukukubalia kitu oote. Kukataliwa na kuendelee
🤣🤣🤣🤣 Nimemeza Rozari, Nyanyua mabega 😕Kaungane na wenzako mfe vizuri 🤣
🤔🤔🤔🤣🤣🤣Niliona sehemu mtu anasema JF ni sehemu nzuri ya kudanga kuna madanga yenye hela😂
Nwei kila la kheri
Sasa ndo utofauti wenu na mabinti zamani wao hawakua hvo .....siku hz unakuta kbs mshangazi aliezaliwa Kati ya 1998-2004🤣 nae hana akili kbs Hapo hujakutana na mibibi ya 90's🤣 yaan full vurugu tuIbrahim babaake tera alikua don wewe alikua Mfugaji na ma V8 Mengi (magari ya Punda). 🤣 🤣 🤣 na sahivi tunataka ambacho huna, ukiwa na hela tunataka Body and viceversa, Ukiwa na body tunataka Gari, kuvulugana tu kila mtu ashinde zake 🤣🤣🤣🤣 Upendo umepoa, si nimekwambia tupo new testament Ringo
Labda amedivorce mkuuSuhendra si umeolewa wewe?
Au niulete ule uzi uzuri wa jf nyuzi hazifutiki
Kina Yunge mdogo sio 😂Ni miaka hii tu mambo yameharibika ila zama zetu tulifaidi sana unakata utepe mwenyewe 😄na walikua wanajua kupenda aiseee