Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Itabidi kwa kwel , mwisho wa siku unajikuta unabaki mwenyewe humu kila mtu unakuta anachati kifamilia humu.We jiripue tu
Lazima na mimi niitwe mkaka mzuri humu ,huu mwaka .[emoji16][emoji16]Kweli ndiko tukako kwendea
BarikiwaHapana π
Nshakuwa kipofu wa mahaba, wacha wanipelekepeleke kwanzaπ€£Unawezakuta depal ndo demi ktk id nyingine sasa jichanganye.
Hata baada ya kuachana mwaka mzima,narudi Bado tu hujaacha kuwa mkorofi!!Em leta
ππseriousπ€π€π€π€£π€£π€£
Dada,.vunga.Ndoa Zina mambo mengi
Mbona me mpole sana, sina ukorofi.Hata baada ya kuachana mwaka mzima,narudi Bado tu hujaacha kuwa mkorofi!!
NakaziaπEm leta
Ya mtandaoni yana muda basi?Kwamba amepata mchepuko auπ€£π€£