Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Jichanganye uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi kwa kwel , mwisho wa siku unajikuta unabaki mwenyewe humu kila mtu unakuta anachati kifamilia humu.We jiripue tu
Lazima na mimi niitwe mkaka mzuri humu ,huu mwaka .[emoji16][emoji16]Kweli ndiko tukako kwendea
BarikiwaHapana 🙊
Nshakuwa kipofu wa mahaba, wacha wanipelekepeleke kwanza🤣Unawezakuta depal ndo demi ktk id nyingine sasa jichanganye.
Hata baada ya kuachana mwaka mzima,narudi Bado tu hujaacha kuwa mkorofi!!Em leta
😂😂serious🤔🤔🤔🤣🤣🤣
Dada,.vunga.Ndoa Zina mambo mengi
Mbona me mpole sana, sina ukorofi.Hata baada ya kuachana mwaka mzima,narudi Bado tu hujaacha kuwa mkorofi!!
Nakazia😀Em leta
Ya mtandaoni yana muda basi?Kwamba amepata mchepuko au🤣🤣