Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sikuja kutafuta pisi jfadriz waambie Mongolian finest Maghayo, na nusu albino Half american hii ni Fursa kwao π.
Miaka zaidi ya 7 jf still hawaja wahi pata hata Dem wa kusingiziwaππ
Sema uli kosa sampuli yako ya u nusu albino π Half americanSikuja kutafuta pisi jf
We ng'ombe endelea kujichanganya πSema uli kosa sampuli yako ya u nusu albino π Half american
Acha ufwalaHaya jione ππ
View attachment 2916215
ππHi ndo Ina paswa iwe avatar yakoππ
View attachment 2916220
πππ mimi ni mwamba tena mwamba kweli kwel , kumbe inapendwa na wadada nilikua sijuiπ cha msingi abdala kichwa wazi bado yupo hakuna matata.Hii woiiii mara zote inapendwaga na jinsia pinzani na mimi siku zote nikajuaga wewe ni mwamba
πHi ndo Ina paswa iwe avatar yakoππ
View attachment 2916220
Ulipata?Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya
Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.
Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda
Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu π, Jamani mapenzi hayana stahaa
Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.π
success huja kwa njia nyingi na nyingi wapo ni za kificho au zisizo dhanika.
usiache chochote chema kinachokujia hata kama njia inayotumika ni isiyokuwa ni ya kawaida , kama hakitakufaa au hutakifaa kitapita kitakuacha ukingojea kinginecho.
kwa hio mleta mada wewe endelea tu, na ikawe heri kwenu.
Pole sanaNi matumaini yangu nyote wazima wa Afya