Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

We ng'ombe endelea kujichanganya 😂
Haya jione 😀😆
images (22).jpeg
 
Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.

Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa

Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
Ulipata?
 
success huja kwa njia nyingi na nyingi wapo ni za kificho au zisizo dhanika.
usiache chochote chema kinachokujia hata kama njia inayotumika ni isiyokuwa ni ya kawaida , kama hakitakufaa au hutakifaa kitapita kitakuacha ukingojea kinginecho.
kwa hio mleta mada wewe endelea tu, na ikawe heri kwenu.

"Usiache chochote chema kinachokujia hata kama njia inayotukika ni isiyo ya kawaida"

Mwisho wa kunukuu

Cc Smart911
 
Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.

Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa

Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
Pole sana
 
Back
Top Bottom