Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Ninachoamini huku kuna watu wana mahusiano..pengine walishaachana na wapenzi wao humu na kupata wapenzi wengine humu humu jf lakin huwezi sikia upuuzi wowote mara yule yuko hivi mara vile🙆‍♀️🐒🐒🐒.

Basi tu kuna watu wanajitoa ufahamu
Humu humu ambapo mtu mmoja ana I’d zaidi ya mbili🤔🤔..
Hongereni mwaya
 
Ninachoamini huku kuna watu wana mahusiano..pengine walishaachana na wapenzi wao humu na kupata wapenzi wengine humu humu jf lakin huwezi sikia upuuzi wowote mara yule yuko hivi mara vile🙆‍♀️🐒🐒🐒.

Basi tu kuna watu wanajitoa ufahamu
Kuna ushirikina humu unaitwa multiple ID uskiage tu, mtu anakua na ID ya backup hiyo inakua friji haligandishi anakupopoa kimya kimya
 
Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.

Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa

Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
Kuna wadada watatu humu wapo very decent na loyal pia wives materials
1. Depal
2. Demi
3. ....

A luck man is one to hold hand of any of above
 
Kuna ushirikina humu unaitwa multiple ID uskiage tu, mtu anakua na ID ya backup hiyo inakua friji haligandishi anakupopoa kimya kimya
Tanzania ina watu milioni 60 kama sijakosea😀😀
Ina wendawazimu,machakaramu,wapole,wakarimu,wenye roho mbaya,waninafsi,wenye kujielewa,wasiojielewa,masikini,matajiri,washirikina,walokole 😃😃watu ni wengi jamani.

Ndivyo vivyo hivyo na jf.inategemea umetulia wapi
 
Back
Top Bottom