Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
OhoooHii ndio nitolee 🤣🤣
Nakujua kuliko anavyokujua
Taratibu dada mwema. Kulikoni kumtia ndimu namba tatu wangu🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhoooHii ndio nitolee 🤣🤣
Nakujua kuliko anavyokujua
Humu humu ambapo mtu mmoja ana I’d zaidi ya mbili🤔🤔..
Hongereni mwaya
😄😄Kumbe ipo humu humu ....sasa we mtag afu aje na ID yake ya backup aseme mengine yasiyohusikaNitag pisi ije ikupe mrejesho. N wa mjini lakini na hapa ipo
Uncle Dereva ngoja nitulie😀😀Leo upo kinda pugnacious hivi aunty abiria 😄
Yeah ni kwelithere is life outta JF...na maisha yote characters ni sisi sisi...
Na apite asome 🤣🤣Ohooo
Taratibu dada mwema. Kulikoni kumtia ndimu namba tatu wangu🤣
Kwakweli me siwezi.Sasa mtu gani huyu ana-like kila comment na kila post?
Wewe unaweza?
😂 sitii neno mkuu naona mnatuzingua sana wa mjini😄😄Kumbe ipo humu humu ....sasa we mtag afu aje na ID yake ya backup aseme mengine yasiyohusika
🤣🤣🤣🤣😄😄Kumbe ipo humu humu ....sasa we mtag afu aje na ID yake ya backup aseme mengine yasiyohusika
HapanaLodge ya Mnazi Mmoja unaijua?
Mara ngapi sasa 😂Wacha nikae vizuri humu labda na mimi ipo siku nitaleta uzi wa kudondokeana na mwana Jf👩❤️💋👨👩❤️💋👨
Blaza hebu tuliaNaomba unidondokee mimi tafadhali
Mdanganye mwenzio🤣🤣🤣
Raha jipe mwenyewe dear, kama mnapendana n anakupa furaha usimuache maisha ni haya haya.
😀😀😀hee wewe HA Mungu anakuona ujueMara ngapi sasa 😂
Uncle Dereva ngoja nitulie😀😀
🙌🙌🙌🙌Aseme umetahiriwa kama wamasai🤣🤣🤣🤣
kuumizwa mara nyingi zaid kunakupa uzoefu wa kukataliwa, kuachwa au kunyimwa na kunakuongezea ustahimilivu na ujasiri zaidi wa kuwa na yeyote umtakae, huku hata kama mmneachana uone ni jambo la kawaida tu, bila kujisjia vibaya na kukuacha bila maumivu yoyote moyoni....Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya
Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.
Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda
Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa
Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏