Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Kuwa na mpenzi JF inawezekana 💕

Ni matumaini yangu nyote wazima wa Afya

Kama kuna mwenye changamoto na muombe kwa mungu ampe afya njema.


Moja kwa moja niingie kwenye, mada bila kupoteza muda

Kweli nime amini, mapenzi hayana formulae popote, saa yoyote unajikuta tu usha mpenda mtu 😘, Jamani mapenzi hayana stahaa


Naombeni ushari Niendelee ni ache na ogopa kumizwa bore maana machozi ya kulia sina.🙏
kuumizwa mara nyingi zaid kunakupa uzoefu wa kukataliwa, kuachwa au kunyimwa na kunakuongezea ustahimilivu na ujasiri zaidi wa kuwa na yeyote umtakae, huku hata kama mmneachana uone ni jambo la kawaida tu, bila kujisjia vibaya na kukuacha bila maumivu yoyote moyoni....

pendaneni, msichokozane na Amani Ya Mungu iwe ndani yenu....
 
Back
Top Bottom