Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Unataka ufaidi mwenyewe?Mdanganye mwenzio
Dada mbinafsi wewe kha😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka ufaidi mwenyewe?Mdanganye mwenzio
Ziko mbili 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Aseme umetahiriwa kama wamasai
Teh teh teh teeeeh!
Ndio ndioooooo 😂😂🥰🥰🤣🤣🤣 here for .. 🔐❤️❤️
Hahaaaa
Naambukizwa ubinafsi na binadam 🤣🤣🤣Unataka ufaidi mwenyewe?
Dada mbinafsi wewe kha😂
Unaona sasa? Hata ukitajiwa hapa unatoka emptyHapana
Umeshasahau kuwa ulishadondokewa na fulani 😂😀😀😀hee wewe HA Mungu anakuona ujue
Sawa☺️☺️Kwakweli me siwezi.
Nikifungua tu uzi nikasoma page is 1,2 nishachoka natafuta uzi mwingine.
Ila sikuhizi hua anacomment kwa baadhi ya nyuzi
Weee sema kweli?🤣🤣🤣Ziko mbili 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 hivi kule si tulshazungumziaga hili swala? Kasome chats upyaWeee sema kweli?🤣🤣🤣
Nimetulia tuliii.....Blaza hebu tulia
Nyie wa huko mjini naskia demu akija mnapata hadi muda wa kucheza game huku kijijini hamna huo mda😂 sitii neno mkuu naona mnatuzingua sana wa mjini
kuumizwa mara nyingi zaid kunakupa uzoefu wa kukataliwa, kuachwa au kunyimwa na kunakuongezea ustahimilivu na ujasiri zaidi wa kuwa na yeyote umtakae, huku hata kama mmneachana uone ni jambo la kawaida tu, bila kujisjia vibaya na kukuacha bila maumivu yoyote moyoni....
pendaneni, msichokozane na Amani Ya Mungu iwe ndani yenu....